Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,380
Serikali itunge sheria ya kukatwa mshahara kwa 10% waajiriwa hela hii ielekezwe kwa wazazi na kama wazazi hawapo pesa hii ielekezwe kwenye mfuko wa familia ya mwajiriwa.
Mnataka tu kuibiwa hizo nssf zako tu kulipwa shida mnataka bado muibiwe tuuu khaa kweli wadanganyika tuna shida.......hapo mtu .anajiita great thinker hahahahhahserikali itunge sheria ya kukatwa mshahara kwa 10% waajiriwa hela hii ielekezwe kwa wazazi na kama wazazi hawapo pesa hii ielekezwe kwenye mfuko wa familia ya mwajiriwa
Hakuna mtoto aliyemwomba mzazi wake amzae.... watoto wako hawakukutuma uwazae ni kiherehere na nyege tu ndo hufikisha watu hapo hivyo pambaneni na hali msihamishie ndoto kwa watoto.serikali itunge sheria ya kukatwa mshahara kwa 10% waajiriwa hela hii ielekezwe kwa wazazi na kama wazazi hawapo pesa hii ielekezwe kwenye mfuko wa familia ya mwajiriwa
Hata sheria ya kimataifa ya kazi hairuhusu hilo unalo liwaza wewe kijinga namna hiyo, tambua mshahara wa mtumishi ni ujira wa kazi yake na anakatwa kodi (payee) ambayo inaenda kufanya hayo unayo yasema wewe,serikali itunge sheria ya kukatwa mshahara kwa 10% waajiriwa hela hii ielekezwe kwa wazazi na kama wazazi hawapo pesa hii ielekezwe kwenye mfuko wa familia ya mwajiriwa
Mshahara ni wa mtumishi husika na si wa familia elewa hilo kwanza , kuunga mkono hoja ya kipuuzi kama hii nakuona wa kumbe na wewe una upeo finyuNaunga mkono hoja unakuta mtu kila weekend yupo anakula kitimoto na bia Ila waliomsomesha wanasota hii itasaidia inawezekana but waajiriwa wavivu wa kufikiri watakupinga.
Pia itapunguza mizinga kwa kila kitu kinachotokea anatafutwa mtu aliyeajiriwa tu
Imagine mtoto wa Dada kachemka unapigiwa simu usiku kutuma pesa!!!
Bado chama hapo Cha kila mwezi kazini binafsi niliacha kazi serikalini kwa sababu ya huu ujingaHivi mnajua lakini makato waliyonayo Watumishi?
~Paye
~Psssf
~Loan board
~NMB/CRDB
~NHIF
Mshahara wenyewe kiduchu, bado muwaongezee makato mengine?
Naunga mkono hoja unakuta mtu kila weekend yupo anakula kitimoto na bia Ila waliomsomesha wanasota hii itasaidia inawezekana but waajiriwa wavivu wa kufikiri watakupinga.
Pia itapunguza mizinga kwa kila kitu kinachotokea anatafutwa mtu aliyeajiriwa tu
Imagine mtoto wa Dada kachemka unapigiwa simu usiku kutuma pesa!!!
Serikali itunge sheria ya kukatwa mshahara kwa 10% waajiriwa hela hii ielekezwe kwa wazazi na kama wazazi hawapo pesa hii ielekezwe kwenye mfuko wa familia ya mwajiriwa.
Sahihi, iwe ni Tagwlu, Tughe n.kBado chama hapo Cha kila mwezi kazini binafsi niliacha kazi serikalini kwa sababu ya huu ujinga
Duuu umenikumbusha ngoja niweke order ya mdudu Kwa mwanangu nguchiro msipende kumtaja ovyo huyo mnyama mnatutia shotNaunga mkono hoja unakuta mtu kila weekend yupo anakula kitimoto na bia Ila waliomsomesha wanasota hii itasaidia inawezekana but waajiriwa wavivu wa kufikiri watakupinga.
Pia itapunguza mizinga kwa kila kitu kinachotokea anatafutwa mtu aliyeajiriwa tu
Imagine mtoto wa Dada kachemka unapigiwa simu usiku kutuma pesa!!!