Kuweni makini

Mchawi mwandamizi

Senior Member
Jan 17, 2020
113
328
Habari zenu wana jukwaa, nimeona nitoe angalizo kwa kauli za kijinga zinazolazimisha baadhi ya watu kuziishi, mfano 'hainaga ushemeji-tunakulaga', 'ukimwi ni Kama malaria tu','pesa ndo Kila kitu','mke/mume wa mtu mtamu Sana"',...n.k.
Siku hizi ukifumaniwa na mke wa mtu Kuna mAmbo kAdhaa yanaweza yakukute,uumizwe,uuawe,ulawitiwe. .nasema katika zote happy hiyo ya kulawitiwa ndio funga kazi,inaweza kuondoka na Kila kitu' chako,kuanzia urijali wako,kujiamini kwaKo,uwezo wako wa kufikiri, hata maisha yako.
Wanaume tuwe makini katika zoezi la kuchagua utelezi upi tule,upi tusile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom