Ni kweli hili tatizo hata Mimi lilinitokea Jumapili nlikuwa kama mteja, nimetoa hela kwa simu, msg ikaja kwangu, na kwa wakala ikaenda, ila float ya wakala salio halikuongezeka.
BAHAT nzur Yule kijana alistuka mapema.otherwise angeshaatapa hasara kama asingehakiki