wakuu nimekua na tatizo toka mwaka 2010,nilinyoa makwapa na baada ya kuoga nilijipulizia perfume,toka siku hyo makwapa yanawasha sana,yaan nakua uncomfortbl,haipiti dakika 3 inatokea muwasho.Naomba kwa anaejua dawa anisaidie kunielekeza

Mwandika mada amekosea siyo perfume!!ni deodorants kama sijakosema mi ilisha nitokea na niliacha mara moja!!!na hiyo hali iliisha yenyewe ila jifunze kusafisha vizuri hayo ma kwapa yako mana kama husugui uchafu wote ukatoka lazima yawashe hata miaka 20,kwanza naamini baada ya hapo hukusugua keeps lako na dodoki na sabuni ndo mana mpaka leo linawasha!!!
ndugu yangu umefanya kosa moja. umepuliza spray kwenye irritated or damaged skin. uliponyoa makwapa kuna uwezekano wa kuacha michubuko au mikwaruzo ya kiwembe. Haishauriwi kupuliza spray sehemu yenye michubuko. soma maelekezo