AsanteKaka una kati ya haya
1.minyoo: nenda dukan kanunue dawa
2.unadamu nyingi.nenda kwa daktari
3.maji unayotumia yana backteria.penda kuweka Vizio 2 za dettol ya maji kwenye maji yako Kisha unachanganya unaacha nusu saa imeisha.pia deki babu laki na maji yenye dettol .
Asante
DuuhKaka una kati ya haya
1.minyoo: nenda dukan kanunue dawa
2.unadamu nyingi.nenda kwa daktari
3.maji unayotumia yana backteria.penda kuweka Vizio 2 za dettol ya maji kwenye maji yako Kisha unachanganya unaacha nusu saa imeisha.pia deki babu laki na maji yenye dettol .
Asante
Una mmba sugu nenda hospital wakupe dawa ya kupaka na vidongeMimi kichwa bhana, ikipita siku moja sijakiosha na kupaka mafuta ebu mtu aniambie shida itakuwa nini?
sawa mkuuUna mmba sugu nenda hospital wakupe dawa ya kupaka na vidonge
Pole Mkuu hii ni allergy na sababu yake haijulikani maana na Mimi Huwa inanikumba nilijaribu kufuatilia nikakuta kumbe nintatizo.lwa.watu wengi tuu na Halima majibu.Wakuu habari za kazi
Nina tatizo la kuwasha ngozi baada kuoga hali inayofanya nijikune Kwa muda wa takribani dk10 hivi ndo mwili una Kaa sawa.
Naomba mnishauri kuondokana na hali hii. Kuoga kwangu ni mateso yaani.
Duu Hili la kweli?Pia inawezekana una damu nyingi kacheki hilo pia.
Unless tatizo lake ni la hivi punde ila kama ni mda mrefu hapana,nimeishi maeneo mbalimbali ya Tanzania ila shida Iko pale pale Sasa haiwezekani Kila sehemu maji Yana bacteria.Kaka una kati ya haya
1.minyoo: nenda dukan kanunue dawa
2.unadamu nyingi.nenda kwa daktari
3.maji unayotumia yana backteria.penda kuweka Vizio 2 za dettol ya maji kwenye maji yako Kisha unachanganya unaacha nusu saa imeisha.pia deki babu laki na maji yenye dettol .
Asante
Ulichanja chanjonya korona?Wakuu habari za kazi
Nina tatizo la kuwasha ngozi baada kuoga hali inayofanya nijikune Kwa muda wa takribani dk10 hivi ndo mwili una Kaa sawa.
Naomba mnishauri kuondokana na hali hii. Kuoga kwangu ni mateso yaani.
Wewe una MBA, uwe unatumia shampoo kuosha kichwa usitumie sabuni za kawaidaMimi kichwa bhana, ikipita siku moja sijakiosha na kupaka mafuta ebu mtu aniambie shida itakuwa nini?
Ilo tatizo huwa linanitokea kwa msimu yaani nikitoka kuoga tu mwili una chomachoma hiyo hali inadumu kwa dakika kama 10 kisha inatulia mpaka nioge tenaWakuu habari za kazi
Nina tatizo la kuwasha ngozi baada kuoga hali inayofanya nijikune Kwa muda wa takribani dk10 hivi ndo mwili una Kaa sawa.
Naomba mnishauri kuondokana na hali hii. Kuoga kwangu ni mateso yaani.