Pole sana mkuu!Sipendi kuwa na marafiki bro coz wameshanizulu sana mimi nimejiweka kama rafiki wa kwanza na ndugu wa kwanza.. nina safa sana kumpata mtu mkweli
pole sana mkuu, itabidi move on na watu wote negative hawa ni watu wa kutokuongea nao sana yani ni maneno mawili matatu siku zinaenda lakini ukiwaweka karibu na wewe kwenye njia zako utapata tabu sana jaribu kuwa balance utapunguza stress naoMkuu Acha tu lkn nikija jukwaani huwa nafarijika sana
Pole Sana mkuu, Mimi Nina principle yangu 1 huwa inanisaidia Sana siweki MATARAJIO MAKUBWA kwa mtu yoyote Yule hata mzazi wangu!Mtu mkweli kwako yoyote yule ulieamua kumuamini kisha yeye asiwe mwaminifu kama ulivyo tarajia.. anaweza akawa mpenzi,rafiki au hata ndugu