Kuuzwa kwa dawa za kuongeza nguvu za kiume safarini je ni sahihi ?

Satuuuu

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
1,849
1,993
Wakuu habari zenu

Ktk safari ya kuelekea Mbeya katika eneo la Morogoro nyama choma(Lugeno) pamezuka vijana wanaouza dawa za kuongeza nguvu ktk tendo la ndoa kwa wanaume tena hadharani kwa wasafiri kanakwamba wanauza soda,matunda,korosho,nyama choma na ndizi kama ilivyo ada ya kituo kile almaaaarufu Nyama choma.

Je ni sahihi kwa jambo hili kuendelea ?
7ced246ac9637b3d5058f1ec905d5c00.jpg
 
Mkuu kama wewe ulikuwa unaenda kutembea then unarudi ulipotoka haushauriwi kununua hiyo bidhaa ila kuna ambao wanaenda makwao upo nao kwenye hiyo gari nadhani kama wana hilo tatizo ni bidhaa stahiki kwo.

Lakini hiyo bidhaa kwa jinsi wanaume walivyo hawapendi kuonesha ushaifu huu wa upungufu wa nguvu za dushe hadharani itakuwa ngumu sana kununua hapo. Yaani kila mtu ajue kuwa wewe una hayo maradhi.
 
Sasa mkuu vijana hawa wanaujuzi gani wakuwaelezea wateja wao matumizi fasaha juu ya dawa hizi ? Kumbuka pia mda unakuwa ni dakika tatu
 
Wakuu habari zenu

Ktk safari ya kuelekea Mbeya katika eneo la Morogoro nyama choma(Lugeno) pamezuka vijana wanaouza dawa za kuongeza nguvu ktk tendo la ndoa kwa wanaume tena hadharani kwa wasafiri kanakwamba wanauza soda,matunda,korosho,nyama choma na ndizi kama ilivyo ada ya kituo kile almaaaarufu Nyama choma.

Je ni sahihi kwa jambo hili kuendelea ?
7ced246ac9637b3d5058f1ec905d5c00.jpg
Una akili timamu? Watu wasifanye biashara kwa nini?
 
Yani kelele utadhan watu hawana break kweny midomo, kwanini nao wasitengewe mahari maalum pa kufanyia biashara, afu unakuta biashara zenyewe feki ulaghai mtupu.... Mtu anakuuzia daw ukichunguza vizuri ni unga wa dengu hatari wasiojua wananunua kwa bei ghari af mwisho wa siku wanasingizia kurogwa.
 
Wenye mamlaka ya kudhibiti (TFDA ) wamelala usingizi wataamka siku mtu au watu wakifa kwa overdose au kunywa madawa yasioeleweka
 
Wakuu habari zenu

Ktk safari ya kuelekea Mbeya katika eneo la Morogoro nyama choma(Lugeno) pamezuka vijana wanaouza dawa za kuongeza nguvu ktk tendo la ndoa kwa wanaume tena hadharani kwa wasafiri kanakwamba wanauza soda,matunda,korosho,nyama choma na ndizi kama ilivyo ada ya kituo kile almaaaarufu Nyama choma.

Je ni sahihi kwa jambo hili kuendelea ?
7ced246ac9637b3d5058f1ec905d5c00.jpg

Ukikaa sana katika Basi ' Kitaalam ' Mwili unakosa nguvu zake za ' asili ' na hasa kwa sisi Wanaume huwa tunapoteza ' virutubisho ' vingi vinavyochochea ' hormones ' za ' Libido ' huwa tukipata ' boosters ' kama hizo tunazouziwa si jambo baya sana.

Pili na hao ' Wauzaji ' huwa wanajua kuwa Abiria wengi mliopo humu ' garini ' wengine ni Waume za Watu hivyo labda huko mlikotoka mmebandua ' Malaya ' wa kutosha hivyo wanawasaidia kurudisha wale ' Wazungu ' waliopotea lakini pia hao wauzaji wameshajiongeza na kuhisi kuwa uwepo wa Abiria wa Kiume huko ' garini ' utapelekea wao kuwatongoza Abiria wa Kike na pengine wakifika mwisho wa Safari wanaweza kuafikiana ' Kubanduana ' hivyo na Wao ( wauzaji ) wameona hiyo ni ' Fursa ' Kwao hivyo tuwaungeni tu mkono.

Hata hivyo hizo Dawa ambazo wanawauzia hapo siyo nzuri sana kama unataka kurudisha au kuweka Heshima kwa Mwanamke uliyena au uliyempata na kama una Rafiki au Mtu yoyote yule aliyeko Congo DR na ambaye huwa anapita sana Jimbo ama la Katanga au Kivu basi mwambie akubebe Dawa moja hivi iitwayo ' FUTU ' ambapo nakuhakikishia kama ukikutana na ' Mbunye ' kuna mawili akurudishie Hela yako na akakimbia au kama Mpenzi wake au Mumewe ni ' Guluguja ' Kitandani basi ukiitumia hiyo ' FUTU ' tegemea ' kung'ang'aniwa ' na hata ' Kuhongwa ' nae kwani hiyo ' Dawa / Kitu ' si ya mchezo Mkuu.

Kuna Mchezaji wenu mmoja sasa yupo ' Ulaya ' anajaribu bahati yake lakini bado hajafanikiwa sana na kutwa anapata tu ' Majeraha ' ila kwa sisi tunaomjua tunajua kuwa haponi na mpira wake unaisha kwa tabia yake ya Kupenda kutumia sana kitu ' Futu ' na alifika muda hadi akamuharibu Mchezaji mwenzie Nahodha wa wanaokabidhiwa Kombe lao leo ambaye nae alikuwa ni ' Muumini ' mzuri mno wa kitu ' FUTU ' na ilimuharibu sana performance yake uwanjani huku akiandamwa na majeruhi.

Nyie mnadhani ' Poppa ' alikuwa mjinga kukimbia TP Mazembe? Kwa mliopo jijini Dar mkiitaka hiyo kitu ' FUTU ' mtafuteni aliyekuwa Nahodha wa wanaoshika namba mbili leo baada ya Ligi kumalizika na sasa anajiita ' Bosi ' wa Mwendokasi wa hiyo Klabu / Timu ambaye Yeye ndiyo ' Wakala ' maarufu wa kuwaletea Wachezaji wa Ligi ya Bongo kitu ' FUTU ' kutoka kwa Washikaji zake wa Congo DR pande zile za Klabu ya DC Motema Pembe.

Hapana ' chezea ' kabisa kitu ' FUTU ' Mkuu.
 
Ukikaa sana katika Basi ' Kitaalam ' Mwili unakosa nguvu zake za ' asili ' na hasa kwa sisi Wanaume huwa tunapoteza ' virutubisho ' vingi vinavyochochea ' hormones ' za ' Libido ' huwa tukipata ' boosters ' kama hizo tunazouziwa si jambo baya sana.

Pili na hao ' Wauzaji ' huwa wanajua kuwa Abiria wengi mliopo humu ' garini ' wengine ni Waume za Watu hivyo labda huko mlikotoka mmebandua ' Malaya ' wa kutosha hivyo wanawasaidia kurudisha wale ' Wazungu ' waliopotea lakini pia hao wauzaji wameshajiongeza na kuhisi kuwa uwepo wa Abiria wa Kiume huko ' garini ' utapelekea wao kuwatongoza Abiria wa Kike na pengine wakifika mwisho wa Safari wanaweza kuafikiana ' Kubanduana ' hivyo na Wao ( wauzaji ) wameona hiyo ni ' Fursa ' Kwao hivyo tuwaungeni tu mkono.

Hata hivyo hizo Dawa ambazo wanawauzia hapo siyo nzuri sana kama unataka kurudisha au kuweka Heshima kwa Mwanamke uliyena au uliyempata na kama una Rafiki au Mtu yoyote yule aliyeko Congo DR na ambaye huwa anapita sana Jimbo ama la Katanga au Kivu basi mwambie akubebe Dawa moja hivi iitwayo ' FUTU ' ambapo nakuhakikishia kama ukikutana na ' Mbunye ' kuna mawili akurudishie Hela yako na akakimbia au kama Mpenzi wake au Mumewe ni ' Guluguja ' Kitandani basi ukiitumia hiyo ' FUTU ' tegemea ' kung'ang'aniwa ' na hata ' Kuhongwa ' nae kwani hiyo ' Dawa / Kitu ' si ya mchezo Mkuu.

Kuna Mchezaji wenu mmoja sasa yupo ' Ulaya ' anajaribu bahati yake lakini bado hajafanikiwa sana na kutwa anapata tu ' Majeraha ' ila kwa sisi tunaomjua tunajua kuwa haponi na mpira wake unaisha kwa tabia yake ya Kupenda kutumia sana kitu ' Futu ' na alifika muda hadi akamuharibu Mchezaji mwenzie Nahodha wa wanaokabidhiwa Kombe lao leo ambaye nae alikuwa ni ' Muumini ' mzuri mno wa kitu ' FUTU ' na ilimuharibu sana perfomance yake uwanjani huku akiandamwa na majeruhi.

Nyie mnadhani ' Poppa ' alikuwa mjinga kukimbia TP Mazembe? Kwa mliopo jijini Dar mkiitaka hiyo kitu ' FUTU ' mtafuteni aliyekuwa Nahodha wa wanaoshika namba mbili leo baada ya Ligi kumalizika na sasa anajiita ' Bosi ' wa Mwendokasi wa hiyo Klabu / Timu ambaye Yeye ndiyo ' Wakala ' maarufu wa kuwaletea Wachezaji wa Ligi ya Bongo kitu ' FUTU ' kutoka kwa Washikaji zake wa Congo DR pande zile za Klabu ya DC Motema Pembe.

Hapana ' chezea ' kabisa kitu ' FUTU ' Mkuu.
Duuuu ni Nouma mkuu. Mbona sammata yuko njema uwanjani acha kuwasingizia asee
 
Back
Top Bottom