mathsjery JF-Expert Member Sep 26, 2015 2,240 1,794 May 27, 2016 #1 Ninataka kutengeneza online store nipeni ushauri maana kuna app wakati naipublish kwenye google store mwisho niambiwa niandike url ambayo app hiyo itapatikana yaani online store na mimi sina website
Ninataka kutengeneza online store nipeni ushauri maana kuna app wakati naipublish kwenye google store mwisho niambiwa niandike url ambayo app hiyo itapatikana yaani online store na mimi sina website
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,388 41,811 May 27, 2016 #2 store ya online kiurahisi tumia tu site ya wordpress na plugin ya woocommerce, ila sidhani kama kuwa na app ya store ni lazima uwe na website online.
store ya online kiurahisi tumia tu site ya wordpress na plugin ya woocommerce, ila sidhani kama kuwa na app ya store ni lazima uwe na website online.
Goodluck TZ JF-Expert Member Oct 24, 2015 1,448 661 May 27, 2016 #3 Chief-Mkwawa said: store ya online kiurahisi tumia tu site ya wordpress na plugin ya woocommerce, ila sidhani kama kuwa na app ya store ni lazima uwe na website online. Click to expand... aina maana kweli.
Chief-Mkwawa said: store ya online kiurahisi tumia tu site ya wordpress na plugin ya woocommerce, ila sidhani kama kuwa na app ya store ni lazima uwe na website online. Click to expand... aina maana kweli.
mathsjery JF-Expert Member Sep 26, 2015 2,240 1,794 May 29, 2016 Thread starter #4 Goodluck Mchika said: aina maana kweli. Click to expand... Wananiambia ukitaka publish app wanakuonyesha uandike website yako na url ya store alafu wanasema store page haipo kwenye taifa lako
Goodluck Mchika said: aina maana kweli. Click to expand... Wananiambia ukitaka publish app wanakuonyesha uandike website yako na url ya store alafu wanasema store page haipo kwenye taifa lako
Goodluck TZ JF-Expert Member Oct 24, 2015 1,448 661 May 29, 2016 #5 mathsjery said: Wananiambia ukitaka publish app wanakuonyesha uandike website yako na url ya store alafu wanasema store page haipo kwenye taifa lako Click to expand... nakushauli fungua blog utatunza file aina z0te
mathsjery said: Wananiambia ukitaka publish app wanakuonyesha uandike website yako na url ya store alafu wanasema store page haipo kwenye taifa lako Click to expand... nakushauli fungua blog utatunza file aina z0te