SoC04 Kuunda bodi ya ukaguzi wa makosa ya matibabu (Medical error review board) pamoja na upatikanaji wa shule ya nyumbani (home schooling)

Tanzania Tuitakayo competition threads

Holy B

New Member
Jun 2, 2024
1
1
Uzalendo ni hali ya mtu kuipenda nchi yake kiasi cha kuifia alisikika mtu alisema. Ukarimu na amani ni sifa kadhaa zinazoskika Kwa watu wa njee juu ya nchi yangu Tanzania.

Kilio changu katika sekta ya elimu na Afya.
Elimu yatamkwa kua ufunguo wa maisha lakini walioenda shule na ambayo hawakwenda wote watumia mfumo sawa wa maisha. Afya yakua Kwa Kasi Kwa urahisishwaji wa upatikanaji Hadi vijijini lakini ubora wake wabaki Kwa viwango vya chini.

Ndani ya miaka 5-25, Tanzania iruhusu upatikanaji wa (home schooling) yani shule ya nyumbani na wanafunzi wa shule ya nyumbani kuruhusiwa kujiunga na elimu ya juu hapa nchini. Mfumo wake huruhusu mazingira rafiki, na humruhusu mtoto kuvuka kwenda darasa lingine iwapo kaelewa somo, bila kuleta hofu ya miaka au muda. Lakini pia kuondokana na changamoto ya kupeleka watoto kusoma nje ya nchi baada ya kuhitimu (home schooling). Hii itatoa ajira pia Kwa waalimu wa hapa nchini na kuongeza ufanisi wao.

Katika secta ya Afya, uundaji wa (medical error review board) Bodi ya ukaguzi wa makosa ya matibabu, itakayo pitia Kwa Kila awamu sababu ya vifo na makosa mbalimbali yanayotokea katika secta hiyo na kuwa wajibisha wanaokutwa na makosa.

Elimu na Afya nguzo stahivu ya nchi yangu.
 
Back
Top Bottom