M Mpucha JF-Expert Member Jun 11, 2012 1,217 1,564 Feb 3, 2017 #1 Kwa kiswahili, mzazi wa Peter anaitwa Baba Peter, hivi kwa kiingereza Kuna utaratibu huu ? naomba tuelimishane
Kwa kiswahili, mzazi wa Peter anaitwa Baba Peter, hivi kwa kiingereza Kuna utaratibu huu ? naomba tuelimishane
Testar JF-Expert Member May 30, 2015 7,850 13,534 Feb 3, 2017 #2 Kuuliza siyo ujinga ila kuuliza hovyo hovyo ni uvivu wa kufikiri.
ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 21,368 50,738 Feb 3, 2017 #3 Fikiria wewe si una upeo kaka mputa
Da'Vinci JF-Expert Member Dec 1, 2016 35,766 107,421 Feb 4, 2017 #4 CHARMILTON said: Kuuliza siyo ujinga ila kuuliza hovyo hovyo ni uvivu wa kufikiri. Click to expand... Mpe jibu mkuu Kama unafaham
CHARMILTON said: Kuuliza siyo ujinga ila kuuliza hovyo hovyo ni uvivu wa kufikiri. Click to expand... Mpe jibu mkuu Kama unafaham
Testar JF-Expert Member May 30, 2015 7,850 13,534 Feb 5, 2017 #5 Mondray said: Mpe jibu mkuu Kama unafaham Click to expand... Peter's Father................naamini itakuwa hivyo, mputa .
Mondray said: Mpe jibu mkuu Kama unafaham Click to expand... Peter's Father................naamini itakuwa hivyo, mputa .