kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,963
- 2,346
Una uhakika mkuu? Hebu tuwaite mashemeji wa CK watudadavulieHao ni watumishi katika wakala wa gazeti.....
Sio huyo, clement wao alikua ikulu
Umesoma huyo maelezo kwenye kipande cha gazeti?Una uhakika mkuu? Hebu tuwaite mashemeji wa CK watudadavulie
Huyo CK wa hao jamaa alikuwa anaitwa Clement Kiondo na alikuwa ubalozini. Nadhani ndiyo huyo na kama ni gazeti si mali ya Serikali kwa nini iwe na nembo ya Serikali? Angalia kwa undani hilo tangazo rafiki.Umesoma huyo maelezo kwenye kipande cha gazeti?
Na hili linahusu MMU?Kwetu magazeti yanachelewa kufika. Katika Gazeti la Mwananchi la jana tarehe 01.02.2016 kuna taarifa hiiView attachment 320741
Swali:- Je huyu ndiye CK wa Wema na akina Kajala?
Hao ni watumishi katika wakala wa gazeti.....
Sio huyo, clement wao alikua ikulu
Ni Gazeti la Mwananchi la jana, ukurasa wa 33Kwanza hilo ni gazeti gani?
Kwa nini lina nembo ya Ngao?
Aliposema Wakala Wetu, alimanisha wetu kina nani?
Ni Gazeti la Mwananchi la jana, ukurasa wa 33
Kama ni CK wa akina Wema na Kajala, basi linahusu MMU, kama siyo ombi la kusamehe linanikabili na wewe unakabiliwa na kutoa msamaha bila shurutiNa hili linahusu MMU?
Nadhani ni tangazo la Serikali kutoka ofisi nyeti ndo maana haionyeshi ofisi ipi bali kuna nembo ya SerikaliVipi kuhusu hiyo nembo ya Ngao, ni ya gazeti au ya shirika lililopia tangazo?
Wema na kajala wamefanyaje hapo mkuu?Kama ni CK wa akina Wema na Kajala, basi linahusu MMU, kama siyo ombi la kusame linalinanikabili na wew unakabiliwa na kutoa msamaha
Mods wameiweka "habarihoja mchanganyiko"Kama ni CK wa akina Wema na Kajala, basi linahusu MMU, kama siyo ombi la kusamehe linanikabili na wewe unakabiliwa na kutoa msamaha bila shuruti
Nadhani sijaomba msamaha kwani haujanielewesha kama huyu CK si yule aliyeleta mtafaruku kati ya Wema na Kajala au laMods wameiweka "habarihoja mchanganyiko"
Nimekusamehe
Shida yetu tumjue kwa sura CK wa WemaWema na kajala wamefanyaje hapo mkuu?
Kuuliza sio ujinga mkuu.Shida yetu tumjue kwa sura CK wa Wema
Hata juzi inasemekana huyo CK kafanikisha Wema asinyang'anywe gari endelea:::::Wema Awekwa Chini ya UlinziKuuliza sio ujinga mkuu.