SoC04 Kutumia rasilimali zetu kukuza uchumi wetu na maendeleo

Tanzania Tuitakayo competition threads

nyamarongo

New Member
Jun 17, 2024
1
1
Rasilimali ; rasilimali kama vile madini , mito , bahari ,maziwa , misitu, ardhi

Rasilimali ni vitu au mbinu ambazo tunatumia kufanikisha shughuli zetu au mahitaji yetu. Na kujisikia ufahari na vile vitu vyote tulivyo navyo , hasa tunapokuja Tanzania tunapoongelea kujivunia na vya kwetu ni kujivunia na vile vitu vyote tulivyonavyo ili ukifika Tanzania yenye mafanikio makubwa na Maendeleo makubwa .

Zifuatazo ni Maeneo ambayo nitayataja ambayo tunatakiwa kujivunia nayo na kutumia katika maendeleo ya hii Tanzania tunayoitaka na tunayoiendea kwa sasa unayotaka maendeleo makubwa na Maeneo hayo ni kama yafuatayo ;

Maji ; Kutumika kwa kunywa, kuosha, na shughuli za kilimo. Asa kama tunavoona nchi yetu imebalikiwa vyanzo vya maji ving sana ambavyo tunaweza kuvitumia katika shughuli za kilimo mfano kilimo cha kumwagilia . Asa ili kufikia Tanzania ya maendeleo makubwa zaidi lazima tutanue uwanda wa kilimo cha kumwagilia ambapo tutapata chakula Kingi zaidi na Kunikinga na majanga mbalimbali ya njaa ndani ya nchi na hata kuuza katika nchi jirani panaapo na uhitaji. Pia Maji kama ya bahari kutumia katika biashara ya uvuvi. Pia maji kutumia katika nishati ya umeme.

Ardhi -inchi yetu ni nchi iliyo balikiwa utajili wa ardhi yenye rutuba nzuri ambayo inaweza kutumia Kwa kilimo na ikastawisha Madhao ya biashara. Ko Tanzania au serikali ya Tanzania In nahitaji ka ,ujenzi, na makazi

Nishati - Kama umeme na mafuta, hutumiwa kwa taa, kupikia, na usafiri.

Elimu - Kujifunza na kupata maarifa.

Teknolojia - Kutumika kwa mawasiliano, kazi, na burudani.kutumia sayansi na teknolo

Afya - Kwa matibabu na kujenga afya bora. Katika Afya kama tunavoona kwa sasa magonjwa yanai do kuongeza vifo vya watu hasa vijana ambao ni nguvu kazi ya taifa

Chakula - Kupata lishe na nguvu.
maliasili ,Kama misitu na madini, hutumika kwa viwanda na maendeleo.

Fedha , Kutumika kwa manunuzi, uwekezaji, na mahitaji ya kila siku.

Wafanyakazi - Kusaidia shughuli za kampuni au biashara.
 
Back
Top Bottom