KUTUMBULIWA KWA SENFUE, UKWELI NI UPI DHIDI YA DIRA YA MTANZANIA?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,099
8,727
Wiki mbiri hazijaisha tangu Gazeti la Dira ya mtanzania lilitakiwa kumuomba Katibu mkuu kiongozi msamhaa vinginebyo ikulu itachukua hatua za kinidhani, sikumbuki kama wakati ikulu ya magogoni inatoa kauli hiyo Raisi alikuwepo au nalikuwa ameisha enda Ikulu ya arusha kwa ajiuli ya kuwapokea maraisi wenzie waliokuja kwa ajili mkutano wa mataifa ya Afrika mashariki? lakini nadhani DIRA YA MTANZANIA INATAKIWA KESHO KUTOKA NA HABARI KUMRADHI KATIBU MKUU KIONGOZI SENFUE.
je kama Dira ilisema kweli ndo Raisi kamua kumtumbua je itatakiwa kesho kutoka na habari hyo?

kama kuna mwandishi Nkwanzi Mhango anijibu swali langu? maana yeye alimwambia magufuli anaishi na JIPU AMBALO LEO LIMETUMBULIWA KAMA KWELI ALIVYO SEMA MAANA MIMI SINA USHAIDI. nieleweke vyema nisije chukuliwa atua ninanukuu mwandshi Nkwanzi Nkulu.
 
Serikali ya Magufuli ina kanuni moja ukiharibu hapa usitegemee kuhamishiwa kwenye nafasi nyngne umeharibu unafukuzwa ndo mwisho wako unapewa nafasi ya kusoma magazeti tu makao makuu, jioni unarudi nymban hakuna gari wala posho zozote hahahahahaaa Magufuli endelea Baba kubana matumizi ya pesa zetu watanzania masikini watu walijimilikisha nchi ikawa ya watu fulani fulani tu mpaka wamethubutu kusema Raisi hawezi kutoka Kaskazini utafikiri wao ndo haki ya watanzania wote Mungu ni mkubwa atazidi kukupa nguvu na ulinzi ufanye kazi aliyokuitia kurudisha nchi hii mahala pake!! miaka 10 iliyopita nchi ilimilikishwa kwa kikundi cha watu hata ukisikiliza kauli na semi zao hazina hekima kabisa semi zao zilikuwa zimejaa viburi kutokana na kuwa mihela mingi mifukoni wakiamini kuw hazitawaishia...leo hii matendo yao machafu yameanza kudhihirika wazi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…