Habari zenu wanajf
Nina mafuta ya urembo nataka kumtumia mteja wangu kwa njia ya bei nafuu, lakini nilipofika posta wakaniambia hawasafirisha aina yoyote ya kimiminika, nimeenda DHL bei niliyotajiwa nanunua mzigo mara mbili yake, je kuna mtu anajua au amewahisafirisha mzigo wa kimiminika zaidi ya DHL?
Asanteni