GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,092
- 10,147
Ulipojielewa, uligundua kuwa jina ulilopewa na wazazi wako ni KITUNGUU, na jina la baba yako ni KIMEIVA MAGANGA. Kwa hiyo, majina yako kamili ni KITUNGUU KIMEIVA MAGANGA.
Ikiwa huyapendi hayo majina, hasa KITUNGUU KIMEIVA, inaweza ikawa ni sababu halali inayotambulika kisheria ya kuamua kubadilisha majina?
Kwa kuwa hata jina la baba yako, yaani, KIMEIVA, nalo hulipendi kutokana na "upekee" wake, unaweza ukajitafitia jina ulipendalo la kulitumia kama jina la kati? Kwa mfano, unaweza ukajipa jina la MPELEZI kama jina la kwanza na MAKINI kama Jin l pili? Kwa maana hiyo, majina yako mapya yatasoma: MPELELEZI MAKINI MAGANGA.
Hilo linawezekana? Sheria inaruhusu?