shabani kanjibah
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 154
- 76
Nakuunga mkono..yaani hawachekeshi kabisa, wanatumia nguvu sana kuchekesha watu. Nilidhani labda ni mimi tu nina tatizo na hawa jamaa.Tatizo la Ze Comedy ni kwamba mpaka sasa bado hawajuwi ku act na jokes zao ziko too childish.
Hapana..jamaa wako vizur..sema wengine mmekariri kuwa uchekeshaji ni wa watu fulani tu emu jipe muda wa kuwafuatilia ndo utawajuaTatizo la Ze Comedy ni kwamba mpaka sasa bado hawajuwi ku act na jokes zao ziko too childish.
Wanajichekesha badala ya kuchekeshaTatizo la Ze Comedy ni kwamba mpaka sasa bado hawajuwi ku act na jokes zao ziko too childish.
Hapana..jamaa wako vizur..sema wengine mmekariri kuwa uchekeshaji ni wa watu fulani tu emu jipe muda wa kuwafuatilia ndo utawajua
Naomba ubadiri kwanza hiyo rangi ya nguo yako, ni ombi kwenye avatarZecomedy show Jumamosi hii na kila Jumamosi wamekuandalia mambo mazuri yatakayo kuacha ukiwa na Furaha tele moyoni mwako huku ukijisaulisha mambo mengi yanayotokea ndani nyumbani zetu serikali yetu.
Jumamosi saa 12:30 jion EATV pekeee