Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,298
- 23,071
Yawezekana hapa ndipo penye utitiri mkubwa wa vituo vya kuuzia mafuta ya magari katika barabara ya Bagamoyo.
Kutoka Bunju pale njia panda ya Moga unaanza na Lake Oil mkono wa kushoto hadi Mapinga kabla hujapanda kilima cha Marian Boys unamaliza na TOTAL mkononwa kulia. Ni mwendo wa dakika 10, kilometres 10 kuna vituo 13 vya kuuzia petrol, na bado