Kutoka damu kwenye uume

Yukwapi

Member
Aug 27, 2024
42
56
Habarini Wana JF
Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu ambapo baada ya mdaa damu zilianza kutoka ila nikiangalia kwa njee nipo vizuri na inasimama ila kunamda damu inatoka kwa ndani nanikikojoa inaisha ila nikikaa tena baada ya mdaa nakuta Kuna vidamu vinatoka naombeni msaada je ? Kutakua na usalama kwenye mishipa ya damu
 
Ni vyema ukaenda hospitali mkuu
 
Wewe hebu tuambie ukweli kwanini akwepeshe ulitaka kumfanya nini mtoto wa watu wewe
 
Kutoka damu kwenye uume baada ya ngono inaweza kuwa ishara ya matatizo ya kiafya, na ni muhimu kuzingatia hali hiyo kwa umakini. Sababu zinazoweza kusababisha damu kutoka baada ya ngono ni pamoja na:

1. Uharibifu wa tishu: Hii inaweza kutokea kutokana na msuguano wa nguvu au ukavu wa sehemu za siri.

2. Infection (maambukizi): Kama kuna maambukizi ya zinaa kama vile gonorrhea au chlamydia, yanaweza kusababisha dalili kama hiyo.

3. Ugonjwa wa prosteti: Ingawa nadra, matatizo katika tezi ya prostate yanaweza kusababisha damu kwenye mkojo au manii.

4. Uwepo wa vidonda (ulcers) au michubuko: Vidonda vya ndani vinaweza kuleta damu wakati wa ngono.

5. Magonjwa ya moyo na mishipa: Ingawa ni nadra, matatizo kama hayo yanaweza kuhusika na dalili za kutokwa na damu.

Ikiwa hii inatokea mara kwa mara au kuna dalili nyingine za maumivu, homa, au uchungu, ni muhimu kutafuta msaada wa daktari kwa uchunguzi sahihi.
 
Habarini Wana JF
Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu ambapo baada ya mdaa damu zilianza kutoka ila nikiangalia kwa njee nipo vizuri na inasimama ila kunamda damu inatoka kwa ndani nanikikojoa inaisha ila nikikaa tena baada ya mdaa nakuta Kuna vidamu vinatoka naombeni msaada je ? Kutakua na usalama kwenye mishipa ya damu

Ni wazi kwamba umeumia baada ya kugonga pagumu.

Kwa hiyo ni muhimu kufika hospitalini kwa daktari kwa ajili ya uchunguzi zaidi na matibabu. Pia ni vyema ukaepuka ngono ili kuruhusu hilo jeraha kupona.

Madhara ya kuumia ni hiyo kutokwa damu na pia kuwa kwenye hatari kubwa ya kupata maambukizi ya magonjwa ya zinaa kwa sababu ya michubuko (ndiyo maana ni muhimu kuepuka ngono mpaka jeraha lipone). Pia baada ya jeraha kupona kuna hatari ya kupata tatizo la mkojo kutoka kwa shida baadae hasa kutokana na njia ya mkojo kuwa finyu kwa sababu ya kovu hilo (urethral stricture).

Kila la kheri.
 
Shukran
 
Habarini Wana JF
Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu ambapo baada ya mdaa damu zilianza kutoka ila nikiangalia kwa njee nipo vizuri na inasimama ila kunamda damu inatoka kwa ndani nanikikojoa inaisha ila nikikaa tena baada ya mdaa nakuta Kuna vidamu vinatoka naombeni msaada je ? Kutakua na usalama kwenye mishipa ya damu
Hayo ya damu mimi siyajui maana mimi sio dokta nnachotaka kujua ni je Baada ya hizo purukupushani ulikula mzigo? Au ulianza kuilaumu serikali
 
Habarini Wana JF
Kama mada inavyosema kwa siku ya Jana nilikua nipo kwenye shoo na mtoto mzuri Sasa katika purukushani za yeye kukwepesha mzigo nikajikuta nimeigongeza pembeni Yani njee ya tundu ambapo baada ya mdaa damu zilianza kutoka ila nikiangalia kwa njee nipo vizuri na inasimama ila kunamda damu inatoka kwa ndani nanikikojoa inaisha ila nikikaa tena baada ya mdaa nakuta Kuna vidamu vinatoka naombeni msaada je ? Kutakua na usalama kwenye mishipa ya damu

Haikugonga pembeni! Purukushani za Nini? Kwani wewe ni Mbwa? Kama hataki si unamuacha?

Wakati mwingine hawa mabinti wanajua wana mahonjwa ila hawawezi waambia, akikataa usilazimishe!

Nenda kapime magonjwa ya zinaa huko usitusumbua maana huwa hamsikii mnayoambiwa!
 
Pole Sana Ila jitahidi uachane na hiyo michezo Kama sio kupunguza.

Nenda hosptali ufatilie matibabu Ila hapo kuna tatizo ndani ya Uume ambalo halijapatiwa MAJIBU.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom