Kutoka Bungeni, Serikali imesema Itakata OC Kwa 20%,Magari Kwa 50%, Matengenezo Kwa 50%.Itaondoa Kodi kwenye gesi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
55,179
65,530
Akihitimisha hoja ya Serikali Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema Serikali ya Rais Samia ni sikivu na imekuwa ilifanya hivyo Toka Mwanzo.

Kwa msingi huo imesema itapunguza matumizi ya serikali ya kawaida (OC) Kwa asilimia 20

Itakata pesa zilizotengwa kwenye manunuzi ya magari Kwa asilimia 50%

Itakata matumizi ya matengenezo na ununuzi wa Mafuta Kwa asilimia 50%

Na kwamba Serikali itaanza rasmi kutumia gesi.

Aidha Waziri Mwigulu amesema Serikali itaondoa Kodi ya Shilingi 382 ilivyokuwa imependekezwa kwenye gesi.

Waziri Mwigulu ametoa wito Kwa wafanyabiashara kufungua biashara na kwamba Serikali haijakataa madai Yao ikiwepo kupunguza VAT kutoka 18% Hadi 12% na Service levy akisema Serikali inatamani hilo ila inachelea kwamba itapata wapi pesa za kutekeleza miradi mikubwa ikifanya Kwa ghafla. Akasema ukiondoa 2% tuu ya VAT unapunguza Bilioni 600, Je gap hii itafidiwa vipi?

Amesema madai hayo yataendelea kutekeleza hatua Kwa hatua kadiri uchumi unavyoimarika.

View: https://www.youtube.com/live/R9ucRJAFTO0?si=4Z9lVbvHTm3Nqqlf

Maoni Yangu.
Matumizi ya Serikali kwenye magari, Mafuta na matengenezo ni wastani wa Bilioni 500, ukiyakata half utapata bil. 250. Kwenye OC zitapatikana bil. 300

Je hela hizo ndio zitatosha Kurejesha Barabara zilizoharibika zinazohitaji Trilioni 1?

Je service delivery itasalia vile vile?

Mwisho, Serikali ilifanya mambo haya Kwa pupa itasababisha service delivery kuwa poor kisa tuu tunataka kufurahisha wafanyabiashara.

View: https://www.instagram.com/p/C8trFT8R2oB/?igsh=MXJxcG1sMm9nMW1ubg==

My Take
Watumishi wa Umma Jiandaeni Kuishi maisha ya Kijima
 
Akihotimisha hoja ya Serikali Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema Serikali ya Rais Samia ni Sikivu na imekuwa ilifanya hivyo Toka Mwanzo.

Kwa msingi huo imesema itapunguza matumizi ya serikali ya kawaida (OC) Kwa asilimia 20

Itakata pesa zilizotengwa kwenye manunuzi ya magari Kwa asilimia 50%

Itakata matumizi ya matengenezo na ununuzi wa Mafuta Kwa asilimia 50%

na kwamba Serikali itaanza rasmi kutumia gesi.

Aidha Waziri Mwigulu amesema Serikali itaondoa Kodi ya Shilingi 382 ilivyokuwa imependekezwa kwenye gesi.

Waziri Mwigulu ametoa wito Kwa wafanyabiashara kufungua biashara na kwmaba Serikali haijakataa madai Yao ikiwepo kupunguza VAT kutoka 18% Hadi 12% na Service levy akisema Serikali inatamani Hilo ila inachelea kwmaba itapata wapi pesa za kutekeleza miradi mikubwa ilifanya Kwa ghafla.Akasema ukiondoa 2% tuu ya VAT unapunguza Bilioni 600,Je gap hii itafidiwa vipi?

Amesema madai hayo yataendelea kutekeleza hatua Kwa hatua kadiri uchumi unavyoimarika.

View: https://www.youtube.com/live/R9ucRJAFTO0?si=4Z9lVbvHTm3Nqqlf

Maoni Yangu.
Matumizi ya Serikali kwenye magari,Mafuta na matengenezo ni wastani wa Bilioni 500,ukiakata half utapata bil.250,Kwenye OC zitapatikana bil.300

Je hela hizo ndio zitatosha Kurejesha Barabara zilizoharibika zinazohitaji Trilioni 1?

Je service delivery itasalia vile vile?

Mwisho, Serikali ilifanya mambo haya Kwa pupa itasababisha service delivery kuwa poor kisa tuu tunataka kufurahisha wafanyabiashara.

My Take
Watumishi wa Umma Jiandaeni Kuishi maisha ya Kijima

Na mama naye apunguze misafari yake
 
Uongo mtupu OC unaikata halafu ofisi zinaendeshwaje? Magari yatanunuliwa kama kawaida, OC italiwa na Matengenezo yataendelea kama kawaida maana wananchi wadanganyika hawa namna ya kufuatilia hayo matumizi.
Unaelewa maana ya kupunguzwa? Kwani Kuna mahala imesemwa itafutwa?

Mwisho unaelewa maana ya finance Bill Act? Ikipitishwa na figures zitaandikwa upya huwezi uka over spend kwenye vifungu,hela utoe wapi? Na itakuwa ni kinyume na sheria ambayo itapelekea CAG kuripoti Ufisadi.

Wakishakata haiwezekani tena kutumia zaidi ndio kusema huko Serikalini Jiandaeni kupunguza hizo OC ,Maelekezo yatakuja
 
Akihotimisha hoja ya Serikali Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema Serikali ya Rais Samia ni Sikivu na imekuwa ilifanya hivyo Toka Mwanzo.

Kwa msingi huo imesema itapunguza matumizi ya serikali ya kawaida (OC) Kwa asilimia 20

Itakata pesa zilizotengwa kwenye manunuzi ya magari Kwa asilimia 50%

Itakata matumizi ya matengenezo na ununuzi wa Mafuta Kwa asilimia 50%

na kwamba Serikali itaanza rasmi kutumia gesi.

Aidha Waziri Mwigulu amesema Serikali itaondoa Kodi ya Shilingi 382 ilivyokuwa imependekezwa kwenye gesi.

Waziri Mwigulu ametoa wito Kwa wafanyabiashara kufungua biashara na kwmaba Serikali haijakataa madai Yao ikiwepo kupunguza VAT kutoka 18% Hadi 12% na Service levy akisema Serikali inatamani Hilo ila inachelea kwmaba itapata wapi pesa za kutekeleza miradi mikubwa ilifanya Kwa ghafla.Akasema ukiondoa 2% tuu ya VAT unapunguza Bilioni 600,Je gap hii itafidiwa vipi?

Amesema madai hayo yataendelea kutekeleza hatua Kwa hatua kadiri uchumi unavyoimarika.

View: https://www.youtube.com/live/R9ucRJAFTO0?si=4Z9lVbvHTm3Nqqlf

Maoni Yangu.
Matumizi ya Serikali kwenye magari,Mafuta na matengenezo ni wastani wa Bilioni 500,ukiakata half utapata bil.250,Kwenye OC zitapatikana bil.300

Je hela hizo ndio zitatosha Kurejesha Barabara zilizoharibika zinazohitaji Trilioni 1?

Je service delivery itasalia vile vile?

Mwisho, Serikali ilifanya mambo haya Kwa pupa itasababisha service delivery kuwa poor kisa tuu tunataka kufurahisha wafanyabiashara.

My Take
Watumishi wa Umma Jiandaeni Kuishi maisha ya Kijima

Tunduma: Wafanyabiashara waunga mkono Mgomo, Wajipanga kuhamia Zambia, Waanza kuandikisha majina​

Attachments

  • Screenshot_2024-06-26-13-30-39-1.png
    Screenshot_2024-06-26-13-30-39-1.png
    926.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom