Wakuu naamini umu kuna manguli wa utafutaji.
Nina shida na million 3 baada ya mwezi mmoja ili nifanyie uwekezaji fulani.
Kwa sasa nna laki tano nataka izae million 3 ndani ya mwezi mmoja kwa kuwa sikopesheki inabidi nipambane mwenyewe.
Nisaidieni uzoefu mbinu gani naweza tumia ya halali ili nizalishe million 3?
Nipe mawazo yenye uhalisia nitafanyia kazi.