Kutekwa na Kuuawa: Je iundwe Tume ya Kijaji iliyosheheni Wazalendo kuchunguza au Waitwe Scotland Yard kutoka Kwa Mabeberu?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
91,119
158,395
Je Unadhani Wabobezi wa Kizalendo wakiunda Tume ya Kijaji hawawezi kuchunguza Haya mambo ya kuteka na kuuwa?

Ni lazima kuwaita Scotland Yard kwa jambo kama hili Katika miaka 60 ya Majeshi yetu?

Beberu haachi asili

Maoni tafadhali 🐼

Soma Pia:
 
weledi wa kuchunguza tunao, tukitaka tunaweza kuchunguza, ila je Nia ya kweli ipo? Haijalishi ni scotland yard au mdudu wake, sisi tunaweza maana kila kitu tunacho, sasa shida ni watawala kuogopa kuumbuliwa na yeyote atakaye shunguza. Hapo ndipo penye shughuli.
 
Je Unadhani Wabobezi wa Kizalendo wakiunda Tume ya Kijaji hawawezi kuchunguza Haya mambo ya kuteka na kuuwa?

Ni lazima kuwaita Scotland Yard kwa jambo kama hili Katika miaka 60 ya Majeshi yetu?

Beberu haachi asili

Maoni tafadhali 🐼
Huyo atakaethubutu kuwaita hawa nani?

Sa100?ana wema gani mpaka athubutu kufikia hatua hii?
 
Wakati mbowe akiwa mlinzi?

🤣🤣🤣 Kumbe huna hata habari kama Benki kuu ilishawahi kuungua ? Hebu Fuata hiyo link soma
 
Back
Top Bottom