NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,571
- 13,399
Mpira wetu haukui kwa sababu ya ushirikina, hiki ni kitu ambacho tunatakiwa kupiga vita dhidi ya hizi Imani potofu katika hii tasnia ya mpira wetu.
Nimeshangazwa sana na shabiki wa mpira aliyeshiba maharagwe nakuja kuandika utumbo eti shomari kapombe na mohammedi husein hawakuitwa kwa sababu wanawaloga wenzao Tena anawaaminisha watu kwa asilimia mia utadhani yeye ndiyo mganga mkuu au anashirikiana nao katika ulozi.
NALIA NGWENA the great thinker nilipata sababu za ndani kabisa kwa Nini hawakuitwa hawa wachezaji sababu kubwa ni wagumu wa kutoa ten percentage kwa madalali, makanjanja mtu Kati yanayofanya mipango wachezaji waitwe timu ya taifa nakupeleka majina kwa kocha, hiyo ndiyo sababu kuu kutoka kwenye vyanzo vyangu vya ndani kabisa, chukua hiyo achana na Imani za kishirikina zenye mantiki kubwa zakuchafua wachezaji.
Kocha aliwaona mabwana mdogo hao namna gani wakipiga mpira mwingi na hatimae kaamua kuwapuuza makanjanja mtu Kati wazee wa percentage nakuwaita Tena kikosini hakika hakika kocha hajakosea maana naamini wataleta msaada mkubwa katika timu ya taifa.
Mashabiki tuepukane na dhana potofu dhidi ya wachezaji wetu wazawa kuwa ni washirikina na Kama ni washirikina kwa Nini wameitwa Tena kikosini???
Mpira ni mchezo wa wazi mchezaji ukiwa mbovu nibovu tu hata uloge vipi huwezi kufanya vizuri kwa uchawi.
====
Pia soma: Hii ndiyo sababu Kuu ( Kubwa ) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars