Kusema kweli wanawake ni wazuri sana,nawaombea muishi miaka mingi

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,472
Kwa mwanamme anayeguswa na uzuri wa wanawake wa kitanzania,naomba tuwape sifa zao kupitia uzi huu.
Kwanza,ni wavumilivu,wanahuruma,ni wazuri kwenye mapishi.
Wanajua kutubembeleza pindi tunapokuwa tumechoka na kazi,ingawa wanapenda fedha ila wanajua sana kuzitumia hizo fedha katika kununua vifaa vya nyumbani
Hujali sana ndugu,hutupatia haki yetu kwa bashasha zote pindi tunapohitaji.
Ongezeni sifa zingine,,,,,
 
Amina ubarikiwe
 
Me nawaonea huruma sn wanawake wazuri.
Maana mwisho wao huwa mbaya sn
 

Hakuna mwanamke Mzuri wa Sura aliyewahi kuolewa...... Najua sitaeleweka..
 
Asante mkuu. Kila mtu na mtuwe
 
Ni wanaume wachache wenye akili kama zako.......be blessed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…