Official Ric
Member
- Jun 20, 2024
- 25
- 59
Habari zenu wanajukwaa
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu kwa kipindi cha hivi karibuni jamii imemuwezesha sana mtoto wa kike na kumsahau kabisa mtoto wa kiume je sisi kma jamii tunafanyeje kumsaidia huyu kijana wa kiume aliyesahaulika.
Na kwa sasa hivi hata nyinyi wazazi mtakuwa mashuhuda unakuwa na hofu kwa kijana wako wa kiume kuliko wa kike kwa sababu siku hizi kuna wimbi la Ushoga huyu kijana wa kiume yupo kwenye hatari kubwa kuliko huyu wa kike na hata jamii imemuwezesha sana kijana wa kike na kumsahau kumfundisha kijana wa kiume namna ya kuishi na huyu kijana wa kike aliyewezeshwa....
Lakini pia kuna hili wimbi la wamama kutoka kimapenzi na vijana wa kiume wadogo jamii hailiongelei inaliona la kawaida san lakin tunapoteza vijan wengi sana kwa sababu wengi wao wanaishia kuwapa magonjwa hawa vijana
Kusahaulika kwa kijana wa kiume tunashindwa kutengeneza wanaume jasiri na Baba bora wa baadae na hata wanaume katika jamii wanapungua Tunabaki na wavulana wengi ambao hawatasaidia ustawi wa taifa letu zuri la Tanzania na Dunia nzima kwa sababu mimi naamin tunapomtengeneza huyu kijana wa kiume kuwa bora tunahakikisha future ya Taifa ipo sehemu salama
Hivyo wito wangu kwa jamii ebu tuangalie tunamsaidiaje kijana huyu wa kiume aliyesahaulika katika jamii.
KUNA WATU WATASEMA NIKO HAPA KUWAKANDAMIZA WANAWAKE LAKINI SIYO KWELI JAMII INAHITAJI UWIANO SAWA KWA MWANAUME NA MWAMAMKE LAKINI SASA NAONA KABISA MWANAMKE AMEPEWA KIPAUMBELE SANA NA HATA ZANA HAKI SAWA HAIPO NA HILI NI TATIZO LA DUNIA NZIMA