Leo asubuhi nimesoma kwa masikitiko makubwa kupungua kwa kasi kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya dollar ya Kimarekani. Leo thamani ya dollar kwa fedha ya Kitanzania ni 1$ = 2194.50 kwa taarifa ya Benki ya Tanzania. Mwaka mmoja uliopita 1$ = 1640. Mimi ninawauliza Benki Kuu ya Tanzania ni sababu gani sarafu yetu imeporomoka kwa kasi hivyo?.
Sasa nyinyi vitu hamuuzi nje, dhahabu zenu ornaments zinafanywa S. A, mnaendelea Kuuwa wanyama mbugani, kodi za nyumba zinalipwa kwa usd, whisky pia, then tunategemea kupanda kwa thamani ya pesa eheheh