ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 69,106
- 77,412
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.
Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.
Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 69bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.
Full report hapa World Economic Outlook - All Issues
View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/1915030771963752794?t=7cmBNGb-3MdAyJLtaQqnhw&s=19
My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.
Ni vyema pia ikaeleweka kwamba IMF wametoa kinachoitwa Matarajio (Outlook) ya mwaka 2025.
July mwaka huu WB itatoa takwimu halisi za Kiuchumi (GDP) Kwa mwaka wa 2024.