Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,823
- 5,435
Kwa kusoma kwangu maandiko mpaka hapa tulipofikia, ninaamini haya.
Wakati Nuhu anazaliwa, watu wote walimshangaa, kwa nini? Kwa sababu alikuwa mweupe, nywele nyeupe, mboni kama ya paka, yaani alifanana na hawa Wazungu, na natumaini hawa Wazungu walianzia hapo.
Kwa kuwa walimshangaa, basi jua kwamba hapakuwa na binadamu wa kawaida kama yeye, alikuwa mtu mpya lakini ukisoma kitabu hichohicho cha Enoko, mshua wake alisema Mungu amempa mtoto anayefanana na watoto wa malaika.
Kwamba mtoto wake alikuwa mweupe kama watoto wa malaika. Hii inamaanisha kwamba malaika walipokuja kuzaa na wanadamu, kwa kuwa walikuwa weupe, wakapata watoto weupe.
Kwa hiyo hao akina Azazeli, Lusifa na wenzake walikuwa weupe, walipozaa na wanadamu, wakapata watoto weupe, sema walikuwa na muonekano tofauti na wanadamu kwa kuwa walikuwa wakubwa mno ndiyo wanefili.
Nuhu alikuwa na muonekano kama wa hawa watoto weupe, ndio asili ya Mzungu ilipoanzia.
Na ndiyo maana wakakinyofoa hiki kitabu kwa kuwa hawakutaka tujue kwamba Mzungu hakuwepo hapo mwanzo, alikuja kuibuka baadaye.
So Adamu na Hawa na watoto wao, hakukuwa na Mzungu.
Ila wakatudanganya na michoro yao kwamba Adamu na Hawa walikuwa wazungu.
- Malaika ni weupe kama Wazungu
- Binadamu wa kwanza, yaani akina Adam walikuwa weusi.