Kupata kadi ya NMB kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani?

Mussa rapper

Member
Nov 17, 2018
10
4
Habari naomba kuuliza au kupata msaada kutoka NMB kadi kutoka wilaya moja hadi nyingine inachukua muda gani kufika na mnazisafirisha kwa njia ipi?

Nime-renew kadi nikaambiwa niende baada ya siku 10 nimeenda kadi imetumwa wilaya nyingine ni j5 ya week iloisha nikaambiwa niijie ijumaa yani leo napo bado nafika ofisi ya tawi husika (Buhongwa) naambiwa bado kadi haijafika niende Jumatano ya week ijayo ilihali kila siku natumia nauli kwenda na kurudi pasipo kujali umbali ninaokaa.

Je, ni halali hii? Au kuna uzembe katika utendaji husika naomba kupata muongozo please!
 
Back
Top Bottom