Habari, kumekuwa na changamoto kubwa sana kwa abiria tunaoshuka njini kwa kupanda daladala za kutoka bohongwa kwenda usagara tunalazimiashwa kulipa nauli nauli kamili bila kujali tunashukia njini tena nusu ya safari, tunaomba mamlaka ziangalie jambo hili kwani zinaumiza kwa wanaoishia njiani.