Kuongeza masomo ya ziada nje ya Syllabus ya program husika

MATEO GODFREY

Member
Apr 7, 2014
36
56
Habari wadau!
Ningependa kufahamu kama kufanya hizo course/masomo yaliyo nje ya program husika yatatokea kwenye Transcript?
Mfano Bsc Economics nikaongeza soma kama information System
 
Kila course unayoomba ina contents zake. Na transcript itaonesha hizo subjects za course husika. Unless chuo kingekuwa kimetengeneza joint honors.
 
Vyuo vyetu vingi havina aina hiyo ya flexibility hivyo utasoma yale yalio kwenye syllabus. Check prospectus uone program unayoitaka imekaaje.
 
Back
Top Bottom