Tunaelekea London,pesa kiduchu inaingia na lazima itokeMie naisubiri hio Juni Moja,nione namba zinavyo someka
Hebu orodhesha maeneo ambayo yameongezwa kodi kwa wananchi!...Nilitegemea uorodheshe hayo maeneo kwa mifano ili sote tuchambue...Tangu serikali hii ya tano iingie umekuwepo na msisitizo wa kukusanya kodi mkubwa
lakini hata hivyo imekuwepo na tabia za kupandisha kodi maeneo mbalimbali kiholela
na hata hii bajeti ya sasa inaonesha wazi serikali hii ya awamu ya tano wanachotaka
wao ni kodi tu hata kama kodi hiyo 'itaua' baadhi ya biashara za watu....
Ukweli ni kwamba wanachokifanya ni 'kumkamua maradufu ng'ombe maziwa' huku ng'ombe mwenyewe
hana afya ya kutosha na chakula chake kinazidi kupungua......
Kwa mwendo huu umasikini utaongezeka......biashara zitakufa na hayo mapato yatapungua
Ilikuwa busara zaidi ng'ombe akaongezewa kwanza chakula na matunzo na hata kupunguza
kumkamua kwanza ili anawiri ndo ukamuaji ufuatie......
Mentality kuwa watanzania wengi wana pesa na hawalipi kodi ni hatari sana...
Ukweli ni kuwa watanzania wengi ni masikni na wanaishi kwa kubangaiza zaidi
biashara rasmi ni chache sana na gharama za umeme,kodi na nyinginezo ni kuubwa sana...
Serikali ilipaswa kutumia nguvu kubwa kwenye 'new economy' na Utalii...ambako hakuna
mafanikio ya kuridhisha......kuliko kukazania kuongeza kodi kwa mwananchi....
kodi zinavyo zidi na umasikini unazidi
.
Mie naisubiri hio Juni Moja,nione namba zinavyo someka
Kwenye biashara zote dogo dogo kodi imeongezwa karibu Mara 3 yke mfano mm nina stationery mwaka juzi nmelipa laki 3 kwa mwaka lkn mwaka huu kodi milion moja kwa mwaka capital yngu yenyewe Mil 3 wapi na wapi Nchi hii ipo kwa ajiri ya wenye nacho nakuona mtu wa chini unazidi kurudi chiniHebu orodhesha maeneo ambayo yameongezwa kodi kwa wananchi!...Nilitegemea uorodheshe hayo maeneo kwa mifano ili sote tuchambue...
Sasa hapo mbona unafanya shughuli nyingi zaidi ya za stationary?Kwenye biashara zote dogo dogo kodi imeongezwa karibu Mara 3 yke mfano mm nina stationery mwaka juzi nmelipa laki 3 kwa mwaka lkn mwaka huu kodi milion moja kwa mwaka capital yngu yenyewe Mil 3 wapi na wapi Nchi hii ipo kwa ajiri ya wenye nacho nakuona mtu wa chini unazidi kurudi chini