Kuna faida na hasara kutegemea na hali ya uchumi. Kuongeza mikoa/wilaya kunazalisha ajira mpya na kusogeza huduma karibu na wananchi pamoja na kupunguza ukiritimba. Kwa upande wa pili inaongeza matumizi ya serikali hivyo huweza kushindwa kugharamia huduma za jamii.