Mkristo anayejielewa anatakiwa kuweka sawa uhusiano wake na BABA yake aliye MBINGUNI na kuwa na ujasiri wa kuongea na Mungu kama "Abba".
Siku hizi kuna usanii wa maombezi na watu wahuni tu wanapiga pesa kwa kuwashawishi wajinga kwamba wana uwezo wa kuwaombea watu kwa Mungu. Upumbavu au niuite jina gani?
Kama huna uhusiano mwema na Mungu wako usitafute huduma ya Maombezi. Mungu anakuhitaji wewe. MOYO ULIOPONDEKA MUNGU HATAUDHARAU.
Epuka utapeli wa kuombewa. At the end of the day they want your money. Utaambiwa SADAKA, FUNGU LA KUMI, SADAKA MAALUM, MATOLEO n.k. UTAPELI !!! Huu sio Ukristo.
Mambo mengi wanayachukua kwenye dini ya Wayahudi ili kuchumia matumbo yao. WAYAHUDI HAO HAO WANAOCHUKUA VIFUNGU VYA MAANDIKO YAO HAWAMUAMINI YESU KRISTO KAMA MASIYA.
AJABU NI KWAMBA LINAPOKUJA SUALA LA ZAKA NA MATOLEO ambayo ni sehemu ya dini ya Kiyahudi hawa wachumia tumbo ndio ajenda yao kuu!!!