Kuogopa kutendwa nimeamua kuoa asiyejua kusoma na kuandika, zaidi ya kuandika jina lake hajui chochote kingine

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
2,540
6,311
Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.

Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.

Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
 
Nani atafanya homework za watoto wako usipokuwepo?

Wahenga wanasema pasee flani watoto wanachukua akili za mama. Kila la kheri na huyo chizi fresh wako πŸ˜‚πŸ˜‚ β€˜umesema mwenyewe ukimtizama ni kama hazijatimia’
 
Hazipo sawasawa eti Dah umetendwa mara ngapi mkuu?

Sema uzoba sio sababu ya yeye kutokukutenda ,tena utatendwa huku unajiona

, na kujua kuandika na kusoma sio sababu ya ndoa kuvunjika

Kila mtu ashkilie majukumu yake..kila la kheri na zoba wako mkuu
 
Nani atafanya homework za watoto wako usipokuwepo?

Wahenga wanasema pasee flani watoto wanachukua akili za mama. Kila la kheri na huyo chizi fresh wako πŸ˜‚πŸ˜‚ β€˜umesema mwenyewe ukimtizama ni kama hazijatimia’
Watoto huwa wanarithi IQ za mama zao.Sasa huyo mwenzetu amejichanganya sana maana shuleni watoto wake watazungusha Sana miduaraπŸ˜‚
 
Hapo umeula. Sitilesi za ndoa utazisoma JF
 
Na watoto wako wanaishi mjini na kulelewa na huyo huyo! Inferior men create weaker societies. End of story
 
Una balloo'n dio zako 😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…