Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,110
- 2,710
Kuoa wanawake wengi sio dhambi , dhambi inakuja pale mwanaume unaposhindwa kutimiza majukumu yako kwa kila mwanamke. Mifano ya watumishi wa Mungu kwenye biblia walioa wanawake wengi ipo mingi sana ila inashangaza kuona ukristo unapiga vita ndoa za wanawake wengi. Ila ushauri wangu kwa Dunia ya sasa yenye changamoto za kiuchumi na magonjwa mengi usioe wanawake wengi