Kunyoa nywele badala ya kusuka imekuwa fashion kwa wanawake?

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,488
Habari za muda huu wadau? Tangu kuanzia mwishoni mwa mwaka jana nimeona wamama na wadada wanakimbilia kunyoa nywele tofauti na tulikotoka. Wenyewe wanasema wanataka nywele ziote vizuri ila kuna wengine kila wiki mbili wananyoa tena.

Utaratibu huu unashika kasi ni fashion au ni kurudisha ule mtindo wa zamani au ni uchumi?
 
Kunyoa raha...tena kichwa inakua safi all the time.. Kama mleta mada unapenda wenye ma weaving na wig bado wapo lkn. Ila binafsi kusuka kero. Mara nywele ziwashe Ka chiz...mara mba ...Mara zipunyuke... Waiiiii
.. Sa apo utasema una nywele au kero tu...raha ya nywele ziwe zako halali sio za kushonea....ni mtazamo wangu tuu
 
Ila baadhi ya wanaume/wakaka hawajui ata wanachotaka. "Utasikia wadada wa siku hiz bhana fake fake....nywele kucha en everythng....sasa wakinyoa wawe natural kuachana na miwig n weaving zinazowakera na kunuka sometime mnahoji tena.. Khaaaa. Menishindaa
 
ni vizuri kujua mnanyoa kwa kupenda au madanga yamegoma kuhudumia
 
ninyi wenyewe ndo mnasemaga mwanamke nywele, sasa mtaanza kunyoa upara itakuwaje? Hahahahaha
 
siyapendi ila kuna kitu kimesababisha kwanini leo ni co kipindi cha nyuma?
 
ninyi wenyewe ndo mnasemaga mwanamke nywele, sasa mtaanza kunyoa upara itakuwaje? Hahahahaha
Wanaonyoa upara wamependa....na yawezekana wanapenda...ila ukiwa na style fulan fupi fupi utie na dawa fulan hivi alafu ukute kichwa inaruhusu...ad rahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…