Kununua Vifaru vya Kivita Kutoka China na Urusi ni kujiandaa kushindwa vita

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
16,544
21,507
Angalia vifaru vya China

View: https://www.youtube.com/watch?v=eycF9D5z5Hw

Angalia vifaru vya urusi
1728261785128.png
 
Ubishi gani mkuu wakati Mabwana zake wanafikiri kumshauri akubali kuachia maeneo yaliyotekwa na Russia?
Sielewi akili yako ikoje. Kwa hiyo leo hii Museveni akivamia Tanzania eneo lililo kaskazini mwa mto Kagera kama alivyofanya Amini miaka ile wewe utasema tukubali yaishe Museveni achukue eneo "alilokwisha teka".

Una akili finyu sana kuhusu utaifa iwapo unadhani ni sawa kwa Ukraine kuachia eneo lao lilovamiwa na urusia kwa madai kuwa limetekwana Urusi. Urusi ni nchi yenye eneo kubwa sana duniani, wanataka nini kwenye ardhi ya Ukraine kama siyo uchokozi na kiburi tu?
 
Fuatilia kinachoendelea kwenye Uwanja wa vita huko Ukraine!
 
Ukraine imepewa vifaru kutoka Marekani,UK,German,nk mf.Abraham(US),Leopard-2(Germany),nk nenda kamwulize Zelensky vimemsaidia nini.
Hujui vimemsaidia nin ? Urusi ilikuwa nje ya Kyiv ila ss hv wapo wap ?Ukraine yupo ndan ya Urusi Sasa , hv unahitaj kuelelezwa hata hizo taarifa Kila mtu anajuwa
 
Back
Top Bottom