Wadau wa JF yoyote mwenye ufahamu kuhusu website nzuri kutoka Japan nayoweza kununua spare parts (pressure sensor) kutoka Japan.
Maana nimeishanunua used mara mbili kutoka Kenya zinafeli nataka nijaribu Sasa kununua mpya kutoka Japan mdau anejua njia nzuri zaidi ya kupata hako ka sensor from Japan direct