kungfu hustle. naikubali sana hii movie.

kama ni uongo hapa ndo kwao.nampenda huyo aunt

na kitu cha shaolini soccer
 
hunishindi mimi asee hii muv naipenda sn bonge la comedy sijaona km hii asee
 
kama ni mtu wa movie ukiwa na stress 100% ...baada ya movie hakika lazima urudi normal kwa picha hiyo mkuu.....
iko pouwa sana..!!..
 
Waliotengeneza hiyo iyo muvi no hatari yaani wanauwongo ulioenda shule mtu anapigwa teke anapotelea angani dakika tano kitu ka cha shaolin soccer
 
Waliotengeneza hiyo iyo muvi no hatari yaani wanauwongo ulioenda shule mtu anapigwa teke anapotelea angani dakika tano kitu ka cha shaolin soccer
Star na director wa hizo movies ni mmoja. Stephen Chow.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…