Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,991
- 20,314
NI KWELI YAKATA MARA 2..HUU NI WIZI WA NCHANA KWEUPE.Kuna wizi mkubwa katika matumizi ya hizi kadi ya mabasi ya mwendo kasi,
Kadi hii inamapungufu yafuatayo.
1. Ukilipia 5000, matumizi yake utakuwa ukikatwa marambili kuliko anayetumia risiti/tiketi ya kawaida. Yaani unalipa 1400 badala ya 650.
Kadi hii inakata pesa yako marambili yaani uki scan unapoingia na unapotoka.....
View attachment 369314
Huenda ni ni tatizo la kiufundi ama ni wizi wa mchana kweupe....
Kama ni tatizo la kiufundi ni kwa nini isikate pesa pungufu?Sijawai panda mwendokasi wala kutumia hyo kadi..ila kama inakata pesa mara mbili itakuwa ni tatizo la kiufundi...Mara nyingi tunaingia kwenye matumizi ya vitu ambavo hatujajiandaa au kuweka mfumo mzuri wa matumizi yake au hautujaiandaa vizuri kukabiliana na changamoto zake..
Kuna jamaa ameniambia kwamba asipotajirika ndani ya miezi 6 anarudi kijijini .Kuna wizi mkubwa katika matumizi ya hizi kadi ya mabasi ya mwendo kasi,
Kwa muda wa mwezi mmoja na nusu, nilijipa kazi ya kuchunguza ubora wa huduma ya mabasi ya mwendokasi hasa katika eneo la matumizi ya kadi za kielekitroniki, nimejiridhisha vyakutosha kwamba:
Kadi hii inamapungufu yafuatayo.
1. Ukilipia 5000, matumizi yake utakuwa ukikatwa marambili kuliko anayetumia risiti/tiketi ya kawaida. Yaani unalipa 1400 badala ya 650.
Kadi hii inakata pesa yako marambili yaani uki scan unapoingia na unapotoka.....
View attachment 369314
Huenda ni ni tatizo la kiufundi ama ni wizi wa mchana kweupe....
Ntwara kwema kaka?NI KWELI YAKATA MARA 2..HUU NI WIZI WA NCHANA KWEUPE.
Yaani wanakera hadi basi. Usiposcan unapotoka hayo machuma hayafungiki utoke.Halafu Ubungo Shekilango wamefunga mlango mmoja, unatembea umbalimrefu kufuata mwendo kasi. Alama ya Zebra zimefutika kariakoo msimbazi.Sijabahatika kupanda ma bus lakini Dunia ya wapi un scan ticket wakati wa kutoka? Huu wizi mkubwa sana.