A
Anonymous
Guest
Mbali na kwamba tuna elimu Bure lakini sasahivi Shule za Msingi kuna utitiri wa Michango (Tozo) mfano mzuri ni Shule ya Msingi Mapinga iliyoko Bagamoyo, kata ya Mapinga. Kuna utitiri wa Michango
1. Mchango wa Hela ya mlinzi 3000/=
2. Hela ya Mtihani ni sh 6700 kwa mwaka
3. Hela ya jiko Tsh 4000/=
4. Hela ya Chakula Tsh 1000/=
5. Mchango wa kulipia Chakula kwa ajili ya wasimamizi 2000/=
✓ wanafunzi wanarudishwa Nyumbani wakikosa Moja ya Michango hiyo. Mfano leo wanafunzi zaidi ya 15 wamerudishwa hawana hela ya mitohani ya midterm 1200
✓Lakini pia Kumekuwepo na walimu wanafanya biashara za karanga ni kitu kizuri lkn kero ni Ile wanawalazimisha wanafunzi kununua karanga zao.
Hii haijaishia tu Shule za Misingi imeenda Moja Sekondary.
Serikali itoe Mwongozo wa Hili kwa sababu na shule nazo zimekuwa TRA kwa wanafunzj.
This is
Chima, Miraji