GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,929
- 122,055
Haji Manara pole sana ila kwa Tabia zako ambazo hata Nduguzo wanazichukia nilijua tu hutodumu kamwe na Zaylisa. Halafu naona kila kona Watu wanampongeza Mange Kimambi wakati GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums miezi kadhaa iliyopita na hata juzi kati (Threads zipo JamiiForums) nilisema kuwa Haji Manara hatoweza Kudumu mwaka mmoja na huyu Zaylisa kwa tabia zake ambazo Watu wa Ilala Bungoni na Buguruni Malapa alikokulia (japo sasa anaishi Ushuani) wanazijua.
Ifike muda sasa GENTAMYCINE ajengewe / nijengewe Mnara wangu JamiiForums kwani niyasemayo kwa 95% hujitokeza.
Ifike muda sasa GENTAMYCINE ajengewe / nijengewe Mnara wangu JamiiForums kwani niyasemayo kwa 95% hujitokeza.