Kuna watu ndani ya CCM wanatumika na Upinzani, wana nia ovu kwa Rais. Huu mtego tumeugundua

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
7,412
15,846
Sijaamini hiki nachosikia nikiwa hapa Dodoma sehemu moja maarufu kwa makada wa chama.

Kuna mwendawazimu mmoja. Mi namwita mwendawazimu sababu hawezi kuwa na akili timamu akashadadia Mdahalo wa Ugombea wa Urais 2025. Hakuna ndani ya CCM mwenye akili timamu anaweza shadadia hilo.

Huyu inaonekana anatumika au ni kundi lisilomheshimu samia suluhu. Ni kuwa na nia ya dhati kutaka mdhalilisha ili ndo watu wapige mhuri na kusema "Mnaona? Sisi tuliwaambia!" huwezi mweka samia kwenye mdahalo na watu kama Mbowe, Hashimu Rungwe hata na GodB Lema. Hapo Mtukutu wa akili Tundu Lissu asiwekwe kundi hilo.

Hayo yatakuwa ni mauaji ya kukusudia ya kinyama na kikatili sana. Si sawa hata kidogo na ni kutaka kumkosea heshima rais. Kutaka adhalilishwe kisha mpate ya kuzungumza.

Huo mtego hautupati na tumeuona. Mdahalo fanyeni wenyewe rais mwacheni apumzike. Kwanza wakati wa Mdahalo atakuwa nje ya nchi mapumzikoni au kutafuta sponsors.

Hakuna Mdahalo ataoshiriki samia. Naapa hautatokea. Na hata akishinikizwa naamini hatokubali kabisa.
 
Ashiriki kwa uwezo gani alionao bi chura? Elimu nyepesi tu ya form four ilim-knock out sasa akae na watu wenye akili aaibike? Labda mdahalo na DJ mbowe watawezana maana akili zao hazitofautiani sana.
 
Acha uoga uwezo anao,pia anayeenda kwenye mdahalo ni yeye na sii wewe.uzuri wa mdahalo utaziibua sera muhimu za mgombea kwa umma bila kificho,na atakuja hukumiwa na raiq kwa yale anayoyayambulisha kwenye mdahalo husika.
 
Hahahaa
 
Huyo najisi....watanganyika hatumtaki wala hatuta mpigia kura kamwe.
 

Kwanza elewa kuwa kuna kipindi CCM ilipiga marufuku wagombea wake kushiriki midaharo kuhusu uchaguzi, naamini hilo zuip bado lipo. Mjuzi atujuze pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…