Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,869
- 16,917
Sijaamini hiki nachosikia nikiwa hapa Dodoma sehemu moja maarufu kwa makada wa chama.
Kuna mwendawazimu mmoja. Mi namwita mwendawazimu sababu hawezi kuwa na akili timamu akashadadia Mdahalo wa Ugombea wa Urais 2025. Hakuna ndani ya CCM mwenye akili timamu anaweza shadadia hilo.
Huyu inaonekana anatumika au ni kundi lisilomheshimu samia suluhu. Ni kuwa na nia ya dhati kutaka mdhalilisha ili ndo watu wapige mhuri na kusema "Mnaona? Sisi tuliwaambia!" huwezi mweka samia kwenye mdahalo na watu kama Mbowe, Hashimu Rungwe hata na GodB Lema. Hapo Mtukutu wa akili Tundu Lissu asiwekwe kundi hilo.
Hayo yatakuwa ni mauaji ya kukusudia ya kinyama na kikatili sana. Si sawa hata kidogo na ni kutaka kumkosea heshima rais. Kutaka adhalilishwe kisha mpate ya kuzungumza.
Huo mtego hautupati na tumeuona. Mdahalo fanyeni wenyewe rais mwacheni apumzike. Kwanza wakati wa Mdahalo atakuwa nje ya nchi mapumzikoni au kutafuta sponsors.
Hakuna Mdahalo ataoshiriki samia. Naapa hautatokea. Na hata akishinikizwa naamini hatokubali kabisa.