Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,039
- 43,766
Hello shalom
Wanaume bora katika jamii wapo, pia wanawake bora katika jamii wapo.
Ni vyema wahuni waoane wenyewe kwa wenyewe ili kupunguza hizi kelele za kutuhumiana usailiti, kuuana na kusambaratisha familia.
Yes, hakuna mwenye haki ya kufanya cheating ndani ya ndoa ila nature inaonyesha kuwa ni aibu kubwa, ni mwiko mkubwa na ni fedheha kubwa binti aliyeolewa kucgepuka.
Ni aibu isiyoelezeka. Kwakuwa Mimi ni mwanaume nitawapa sign wanaume wenzangu za kumtambua mwanamke malaya au mwanamke mwenye tamaa ya Dunia. Mwanamke ambaye ukimwoa hutamtuliza kwa cheo chako au fedha zako.
Na kama utatumia fedha au cheo chako kumdhibiti asicheat basi utatumia gharama kubwa na utakuwa mtumwa wake. Narudia tena, utaweza kumdhibiti asicheat ila utatumia gharama kubwa.
Binti ukimwona anapenda sana kwenda na fashion. Ikitoka nguo mpya sokoni hatulii mpaka aipate. Huyo usimwoe.
Binti anayejipamba kwa vitu bandia kama kucha, kope mawigi. Huyo mwache aolewe na muhuni mwenzake. Hutoweza kumtuliza.
Binti ambaye almost mda wake mwingi yuko online kwenye social media. Awe darasani, jikoni, kwenye daladala nk yeye online. Huyo huwezi kumtuliza.
Binti ambaye ameshawahi kutumia njia yoyote ya uzazi wa mpango kabla hajaolewa. Humwezi binti ana ma ex wengi mpaka hisia za mapenzi hana. Wapo mabinti friendly nimewahoji wanasema hawatakuja kumpenda tena mwanaume lakini hapo ana boyfriend na wanashiriki kila jambo.