GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,044
- 119,619
"Kama unajuana na huyo Kijana Kato Rasta au Rasta Mayele aliyemchoma Kisu Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna mwambie akienda Mahakamani ajitetee kuwa baada ya Kupigwa Vibao na Afande huyo huku akitukanwa nae alimuona Afande Muna anajishika Kiunoni akiashiria kutaka kutoa Pistol hivyo kwa kumjua kuwa alikuwa ni Mwanajeshi na Yeye Kato Rasta akaamua Kujilinda na kupelekea Umauti wako.
Kato Rasta aseme kuwa ulikuwa ni Ugomvi hivyo kila Mtu akaamua Kujitetea. Au Waambie Ndugu zake wanitafute na Nitamtetea na wala Hatofungwa. Kesi imekaa vizuri sana Kwake Kato Rasta kushinda ila Ajiamini na Asiogope kwani ni Kesi nyepesi sema tu inaonekana ni Kubwa na inatisha kwakuwa inamhusisha huyo Afisa wa JWTZ na huenda JWTZ nao wakaipambania japo kwa mazingira nao JWTZ haiwahusu sana kwakuwa Aliyekufa hakuwa Kazini kwa wakati huo na hakuvaa Sare zao hivyo ni Tukio la Uraiani ( Nje )" amesema Wakili Nguli ambaye GENTAMYCINE namhifadhi kwa sasa.
Haya Ndugu zake na Dogo Kato Rasta / Rasta Mayele mmeshapewa tayari Maujanja hivyo yawasilisheni Kwake ili awe Huru.
Je, huyu Wakili Nguli yuko sahihi au?