Kazungu vision
Member
- Aug 18, 2024
- 7
- 11
Habari za mda huu wakuu, nmepend kushare na nyie uzi huu kigodo, maisha ya wazazi wetu ni changamoto kubwa na inaumiza sana especially sisi tuliotoka family za maisha ya chini, na tunapambana ili kubadili hali za familia zetu na wakati huo hali nayo ndo hvo ni ngumu kweli kweli pia umri wetu nao ndo hvo tena unazidi kwenda.
Kinachoniumiza sana mimi ni pale mzazi unakuta ana nguvu bado tena za kuweza kutafuta kabisa na kufanya kazi vizuri tu ila, anashindwa kukupa muda wewe wa kutafuta, anaanza kukutegemea wewe kwa kidgo unachokipata unajikuta husongei popote zaidi ya kila siku kuanza upya, hali hii inaumiza sana .
Wakuu siyo kwamba hatupendi kuwasadia wazazi wetu hapana,ila ni bola mzazi anapokuwa na nguvu za kutafuta ampe mda mtoto wake atafute na yeye, kisha mda ukifika wa kumsaidia unamsaidia sasa vizuri.
Unakuta mzazi anategemea ata mtoto wake aliyepo chuoni kisa mtoto tu amepata boom na hajuwi kama hiyo hela inaisha kama upepo kwa matumizi mengi.
Vilevile unakuta mzazi mwingine asipopewa pesa na mtoto wake mzazi analalamika sana na wakati mwingine kumtakia maneno ya kumlaani.
Wakuu mafanikio ya watoto wa Afrika ni magumu sana kwa hali hii wakuu. Especially watoto wa maskini