Kuna wakati Huwa natamani Jengo la Bunge lingejengwa Kagera, Arusha, Kilimanjaro au Mbeya

DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
3,395
9,220
DODOMA - BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeondoa sharti la kila mhitimu wa shahada ya sheria kupita katika shule hiyo.

Sharti hilo lilimtaka kila mhitimu wa shahada ya sheria nchini kulazimika kupitia na kufaulu masomo ya sheria kwa vitendo hata kama hakusudii kufanya kazi za uanasheria katika utumishi wa umma.

Baada ya kuwasilishwa muswada huo bungeni Dodoma na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, wabunge walichangia na kisha kuridhia. Profesa Kabudi alisema muswada huo ulilenga kuzipatia ufumbuzi changamoto zilizobainika katika utekelezaji wa masharti ya sheria hiyo.

Alisema umelenga kuondoa sharti la kila mhitimu wa shahada ya sheria kulazimika kupitia na kufaulu masomo ya sheria kwa vitendo hata kama hana mpango kufanya kazi za kisheria katika utumishi wa umma. Lengo lingine ni kuongeza wigo wa shule kutoa mafunzo ya kozi nyingine maalumu za mafunzo ya sheria kwa vitendo.
 
Mzee wa jalalani hatimaye ameondoa mzimu uliomshinda.
Hii mitihani ya nbaa nayo si waifutilie mbali?
Yaani nikimaliza Baf niwe akauntanti bila cheti hiki cha cpa ya magumashi
 
Bila CPA unaitwa afisa hesabu na bachelor yako. Ila mhuni ambaye hana bachelor kakariri kariri akapata CPA yeye anaitwa accountant hahaha
 
Mzee wa jalalani hatimaye ameondoa mzimu uliomshinda.
Hii mitihani ya nbaa nayo si waifutilie mbali?
Yaani nikimaliza Baf niwe akauntanti bila cheti hiki cha cpa ya magumashi
Haha. Mfupa mgumu huo.
 
Mzee wa jalalani hatimaye ameondoa mzimu uliomshinda.
Hii mitihani ya nbaa nayo si waifutilie mbali?
Yaani nikimaliza Baf niwe akauntanti bila cheti hiki cha cpa ya magumashi
Wanadhani hiyo ndio dawa ya kupambana na Mwabukusi
 
Kwa mwaka graduates wa sheria wanamaliza elfu 3 serikali haina pa kuwapeleka kwenye ajira na Law School wamezidiwa hawawezi ku wa admit wote law school foleni ndefu wameamua kujiosha mikono kijanja

Profesa Kabudi mjanja wa mjini kaona isiwe kesi kawapa faraja hewa ajira za sheria hazipo na Law School hawawezi wa accommodate
Kawabwaga wajijue
 
Back
Top Bottom