Kuna wajinga wanawalaumu wapinzani sakata la Madini

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Tuache utani hili swala sio LA wapizani,hii ngoma ni ya ccm na wananchi tuache kuwaingiza wapizani,wapizani wanatoa mtazamo tu ya Ku handle ishu hii
 
Utafikiri wakati wa kupitishwa kwa hizo sheria Chenge na werema walikua chadema na CCM haikua na super majority. Yan na Mikapa, Kiwete hawakua wakuu wa nchi
 
Maccm kwa Kiburi chao walipitisha mikataba ya WIZI...Kura za Ndiooo

CCM wanapitisha sheria leo, washibe leo, wanasahau kesho

Sheria na Mikataba ya Wizi wa Gold ilipitishwa na Maccm...tena kwa Kiburi na kebehi

Wanapitisha sheria leo ....Ndioo ili washibe leo

Angalia mfano mwingine. Budget ya Utalii iliongeza VAT na Mwaka huu wakaongeza concession fee

VAT and Concession Fee at Short notice

Ndiooooo....Mazuzu

bado hata hawaja evaluate impact ya VAT mwaka jana

Madhara ni baadae... Wataanza kutafuta mchawi na kutoa mtu mmoja kafara

Maghembe lazima awe Kafara
 
Tuache utani hili swala sio LA wapizani,hii ngoma ni ya ccm na wananchi tuache kuwaingiza wapizani,wapizani wanatoa mtazamo tu ya Ku handle ishu hii
Wanatoa maoni ambayo ni kama wanaomba JPM ashindwe ...umeona mpinzani aliyechambua hoja za kamati? Kamati imekuja na findings kibao lakini tunajadili kwa kelele zile zile ambazo hazijawahi kufanikiwa ....bora Zitto aliyekiri Tafiti hupingwa kwa Tafiti tofauti na wazee wa kuropoka ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…