Kuna vitu vinakwaza ila ndio uhalisia wenyewe

Iam Lupa

Member
Sep 22, 2023
37
75
Kuna mzee nilikuwatana nae kazini na diye aliyenifanyia mpango mpaka napata ajira (namshukuru kwenye hili alikuwa njia nzuri katika utafutaji wangu). Nni mtu mcheshi sana na anapenda sana kuongea, na isitoshe kipindi hicho alikuwa njia kusaidia vijana wengi kupata ajira.

Basi bwana shida ya huyu mzee ni moja anapenda ile roho ya GOD FATHER as long as amekusaidia basi anataka muda wote uwe unamuona kama bila yeye wewe usingekuwa kitu.

anapenda kujisifia kwenye mema alofanya (which is good) ila sasa anapitiliza maana anatumia mgongo wa mwingine kujijengea mazingira ya kupendwa - yaani anakusema vibaya kwa watu kwa namna yoyote ile ili ionekane yeye amepush pakubwa katika maisha yako. Na kitu kibaya zaidi ni ngumu kwake kufurahi akisikia umefanya kitu cha maendeleo kama vile biashara, kujenga, kuoa au hata mtoto ye akipata time atakuongelea mambo mabaya tu..

Kiukweli inakata ila uhalisia ni kuwa alitusaidia kupata ajira na tunaendesha maisha yetu.

NB: KAMA UNAAMUA KUSAIDIA MTU WE TENDA TU, ULIYEMSAIDIA ANAJUA UMUHIMU WAKO.
 
Ndio maana wanasemaga shida huwa zipo tu na huwa ni relative Sana. Ukute mwanzo hukuona hili kama ni tatizo na wewe lengo lilikuwa ajira so ukawaza hata mtu akuseme na ajisifu vipi hutajali we muhimu akupe mchongo wa ajira, sasa ajira umepata unaanza kukereka na vitu vingine(vidogo vidogo).....

Shida haziji kwisha maisha ya binadamu. Nakuhakikishia we hata mzee asipofanya hivyo kitatokea kingine kitakukera hapo kazini. Dawa ni kuachana navyo tu

Au nikuulize mkuu, ukiambiwa uchague mzee akusaidie ajira alafu akutangaze au asikusaidie ajira kwa sababu anakutangaza utachagua nini
 
Kuna mzee nilikuwatana nae kazini na diye aliyenifanyia mpango mpaka napata ajira (namshukuru kwenye hili alikuwa njia nzuri katika utafutaji wangu). Nni mtu mcheshi sana na anapenda sana kuongea, na isitoshe kipindi hicho alikuwa njia kusaidia vijana wengi kupata ajira.

Basi bwana shida ya huyu mzee ni moja anapenda ile roho ya GOD FATHER as long as amekusaidia basi anataka muda wote uwe unamuona kama bila yeye wewe usingekuwa kitu.

anapenda kujisifia kwenye mema alofanya (which is good) ila sasa anapitiliza maana anatumia mgongo wa mwingine kujijengea mazingira ya kupendwa - yaani anakusema vibaya kwa watu kwa namna yoyote ile ili ionekane yeye amepush pakubwa katika maisha yako. Na kitu kibaya zaidi ni ngumu kwake kufurahi akisikia umefanya kitu cha maendeleo kama vile biashara, kujenga, kuoa au hata mtoto ye akipata time atakuongelea mambo mabaya tu..

Kiukweli inakata ila uhalisia ni kuwa alitusaidia kupata ajira na tunaendesha maisha yetu.

NB: KAMA UNAAMUA KUSAIDIA MTU WE TENDA TU, ULIYEMSAIDIA ANAJUA UMUHIMU WAKO.
ila na wewe ukibebwa bebeka basi
 
Ndio maana wanasemaga shida huwa zipo tu na huwa ni relative Sana. Ukute mwanzo hukuona hili kama ni tatizo na wewe lengo lilikuwa ajira so ukawaza hata mtu akuseme na ajisifu vipi hutajali we muhimu akupe mchongo wa ajira, sasa ajira umepata unaanza kukereka na vitu vingine(vidogo vidogo).....

Shida haziji kwisha maisha ya binadamu. Nakuhakikishia we hata mzee asipofanya hivyo kitatokea kingine kitakukera hapo kazini. Dawa ni kuachana navyo tu

Au nikuulize mkuu, ukiambiwa uchague mzee akusaidie ajira alafu akutangaze au asilusaidie ajira utachagua nini
sidhani kama kuna mtu hapendi msaada ila inakuja kukata ni pale wewe uliyesaidiwa unatambua thamani ya msaada ila aliyekusaidia kwakwe imekuwa story (sio mbaya) ila unaielezea kivipi na kwanini.

ila mi nina mwaka wa 10 sasa kazini na haya maneno toka hapo hadi leo yanaendelea ila hakuna hathari kwangu ndo mana nikasema NATHAMINI MCHANGO WAKE.
 
ndugu nabebeka kweli kweli ila io process ya kuwa mungu mtu kwa vile umenisaidia hapana.
unajua sisi ambao tumesaidia tunajuwa michango yenu kwetu.
ila kweli,
pole mkuu pole sana.
Humu duniani bana kuna watu na viatu ni ustahimilivu tu unatufanya tudumu na kusonga
 
Iam Lupa itoshe kusema unazingua sana,ww ni kundi la-wale mnaosaidiwa kisha unaanza kusema bila Mungu ,cjui kama ipo ipo tu,jifunze kua-appreciate michango yawatu ktk maisha yako,wengine wanazitqfuta hizo connection lkn hawazipati...hii cenario yako haina tofauti na ule usemi wa mfadhili mbuzi utakunywa mchuzi,,imagine jamaa akijua unamnanga hivi....halafu ukute ww hata huna huo uwezo wa kutoa hizo connection sasa.
 
Kuna mzee nilikuwatana nae kazini na diye aliyenifanyia mpango mpaka napata ajira (namshukuru kwenye hili alikuwa njia nzuri katika utafutaji wangu). Nni mtu mcheshi sana na anapenda sana kuongea, na isitoshe kipindi hicho alikuwa njia kusaidia vijana wengi kupata ajira.

Basi bwana shida ya huyu mzee ni moja anapenda ile roho ya GOD FATHER as long as amekusaidia basi anataka muda wote uwe unamuona kama bila yeye wewe usingekuwa kitu.

anapenda kujisifia kwenye mema alofanya (which is good) ila sasa anapitiliza maana anatumia mgongo wa mwingine kujijengea mazingira ya kupendwa - yaani anakusema vibaya kwa watu kwa namna yoyote ile ili ionekane yeye amepush pakubwa katika maisha yako. Na kitu kibaya zaidi ni ngumu kwake kufurahi akisikia umefanya kitu cha maendeleo kama vile biashara, kujenga, kuoa au hata mtoto ye akipata time atakuongelea mambo mabaya tu..

Kiukweli inakata ila uhalisia ni kuwa alitusaidia kupata ajira na tunaendesha maisha yetu.

NB: KAMA UNAAMUA KUSAIDIA MTU WE TENDA TU, ULIYEMSAIDIA ANAJUA UMUHIMU WAKO.
Nikonekt nae anitaftie kaz mkuu
 
Back
Top Bottom